Unaionaje hii business idea

Angalia mkuu kibongo bongo watu hawachelewi kugeuza guest house hizo roomz zako yaani wakazitumia kugegedana
 
Yeah mkuu, hii kitu ni nzuri ila itahitaji mda kidogo kueleweka hapa bongo n trust me u r goin to make lot of money...its ur tolerance tu
 
Napenda kujua hii project imefika wapi hadi sasa?maana ilikuwa mwaka 2013 ulipoiweka hapa!na ukasema ipo jikoni,je tayari imeshakamilika?vipi maendeleo yake?
 
Hii kitu ipo kichwani mwangu, niliona malaysia nikawaza niifanye ila cost zitakuwa juu sana naomba ni pm kama utaitaji support hata ya mawazo tu, utapiga mpunga sana hii kitu kwa bongo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…