Unaionaje show ya Mr Right?

Hizi huwa ni show zakutengeneza hakuna ukweli kabisa na uhalisia 😂😂
 
Kuna demu wangu mbona anacheza zile show ni maigizo yale
 
Ile n biashara 100% pale kila mshiriki analipwa kwa show mpaka mashabiki wanalipwa 10000 kama naul na wale mr right n 100000 wadada n 50000 mana wao wanakaa muda mrefu pale jukwaan mkishatoka apo kila mtu na harakati zake labda manz awe kakuelewa ndio utaendelea kumchimba
 
Kati ya vipindi vya hovyo mm naona hiki namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…