fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
mkali kutoka tamaduni music wa kuitwa p the mc AKA P mawenge
juzi kati kaachia ngoma yake mpya inaitwa NOMA MWANANGU
kwangu ni bonge la nyimbo japokua idea yake aloitumia inafanana na ile aloimba na jux (MIMI)
aiseee huyu jamaa ni nomah hanaga ngoma mbovu
wale wadau wa hip hop fanyeni kuisikiliza na muipe % zake
[HASHTAG]#YUNGTEmpeR[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NOMAMWANANGU[/HASHTAG]
sawa mh spika nimekuelewaBonge la wimbo.
kweli amejitahidi sanaNi kama muvi hivi, ukilisikiliza verse ya kwanza utataka uskilize na ya 2 ujue kitachojiri
doh jaribu kutuliza akili yako vizuri alafu uskilize upyaYan izo ngom ulizotaja hapo ndo ngom mbovu
Weka link..tuimsikie mtoto wa bombom..
Bwana mawenge kajitahidi sana kwenye hili song , mimi nampa 80%.
Moja ya ngoma ninayobang nayo kwenye playlist yangu kwa sasa
Ngoja nikaisikie
hatari sana hii mwanangufundi bishoo hiyo ngoma ni noma mwanangu
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassasasasasasasasasasasaswadau mmegoma mamake hii sio poa
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassasasasasasasasasasasas