Chambou255
Member
- Feb 15, 2019
- 16
- 19
Ikiwa wewe ni kama moja ya wadau wa soka la bongo ..ukipewa dakika kumi za kuongea na bodi ya klabu ya 'wekundu wa msimbazi' Simba utaipa ushauri gani kwenda mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa wewe ni kama moja ya wadau wa soka la bongo ..ukipewa dakika kumi za kuongea na bodi ya klabu ya 'wekundu wa msimbazi' Simba utaipa ushauri gani kwenda mbele
Ipo njem kak umeongea kitKUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KAMA CLUB NI MCHAKATO, NI NGAZI KWA NGAZI SIO JAMBO LA USIKU MMOJA, NA KUTOLEWA MAPEMA KWENYE CLUB BINGWA KUMETOA FURSA ZAIDI YA KUBORESHA MAKOSA, MFUMO, NK. LEO UMETOLEWA MAPEMA KESHO UTAFIKA HATUA KUBWA ZAIDI NI KUENDELEA KUJIPANGA NA KUWA FOCUSED
Wawarudishe haraka kwenye dirisha dogo wachezaji wafuatao; Okwi, Niyonzima, Kotei na Juurko.Ipo njem kak umeongea kit
uchebe aachie timu haraka sana.1. Mpira ni team work na mazoezi: standard soccer, talent (kipaji) na attitude/fighting spirit.
2. mazoezi na standard soccer watu wengi wanaweza, talent ni ya waliojaaliwa na attitude/ fighting spirit nayo ni ya baadhi
3. unaweza kuwabadilisha wachezaji ila jiadhari na wenye talent na wenye fighting spirit, utasumbuka sana kupata replacement.
4. Simba imepungukiwa wenye talent: Okwi, Niyonzima na fighte: Kotei. Wale huwezi kuwabadilisha kirahisi.
5. Mzambique wana yule nahodha aliyefunga ana zaidi fighting spirit; kipaji kidogo na ....
Ni busara ya wenye timu na viongozi kuzitofautisha sifa hizo ndiyo za wachezaji bora siyo bora wachezaji. Huwezi kukosa magoli zaidi ya ma tatu ya wazi ukasema uko sawa. Hivi hata huyo Kagere au wengine walikuwa wanashindwa nini kumfuata kapombe kule waanzishe movement na pasi fupi?
say noooo tu uchebeeee say noo to carrent central defendars say noo to wazee wa ten parcentIkiwa wewe ni kama moja ya wadau wa soka la bongo ..ukipewa dakika kumi za kuongea na bodi ya klabu ya 'wekundu wa msimbazi' Simba utaipa ushauri gani kwenda mbele
Nafikiri unamzungumzia Luis Misquissone...yule kacheza Mamelod sundowns iliyochukua kombe la CAF Champions league..pale kaisha karudi kwao muwe mnauliza..mikimbio yake hatari sana na yule ndio amewavuruga mechi zote mbili..kipaji kama Chama kupiga danadana..jiulize kwa Nini Chama hajacheza SA(ambako ndio ndoto ya wazambia wengi)jibu rahisi yuko slow1. Mpira ni team work na mazoezi: standard soccer, talent (kipaji) na attitude/fighting spirit.
2. mazoezi na standard soccer watu wengi wanaweza, talent ni ya waliojaaliwa na attitude/ fighting spirit nayo ni ya baadhi
3. unaweza kuwabadilisha wachezaji ila jiadhari na wenye talent na wenye fighting spirit, utasumbuka sana kupata replacement.
4. Simba imepungukiwa wenye talent: Okwi, Niyonzima na fighte: Kotei. Wale huwezi kuwabadilisha kirahisi.
5. Mzambique wana yule nahodha aliyefunga ana zaidi fighting spirit; kipaji kidogo na ....
Ni busara ya wenye timu na viongozi kuzitofautisha sifa hizo ndiyo za wachezaji bora siyo bora wachezaji. Huwezi kukosa magoli zaidi ya ma tatu ya wazi ukasema uko sawa. Hivi hata huyo Kagere au wengine walikuwa wanashindwa nini kumfuata kapombe kule waanzishe movement na pasi fupi?
haaaa haaaaaaaaaaaaaaaHaji Manara aongezewe Nguvu
Okwi, Niyonzima na Kotei sio excuse, Yanga wamemkosa Makambo (top class goal scorer), Ajib ( best assist midfield in TZ), Kakolanya (Stopper), Gadiel Michael...wamechukua wachezaji wapya kabisa na wanapata matokeo. Sema ukweli, ulichokosa wewe ni kocha tu, hilo tumelisema since time in memorial watu hawaelewi. Kwa taarifa yako Fragha anaweza kucheza namba ya Kotei vizuri kuliko hata Kotei, ana mark vizuri na anapandisha mashambulizi mbele. Wilker anaweza kucheza vizuri sana akitokea kulia ama kushoto, ana speed, anadribble, he can go past defenders na ana nguvu sana (majeruhi) na akina Shiboub, Kahata, etc wanaziba mapengo yote. Kule central back kuna Santos (typical central defender), Kennedy Juma, Mlipili. Timu limeenea kila idara, mpe hiyo timu Matola au hata Maxime watu ambao wamecheza mpira na wanaujua watakavyookota masifa.1. Mpira ni team work na mazoezi: standard soccer, talent (kipaji) na attitude/fighting spirit.
2. mazoezi na standard soccer watu wengi wanaweza, talent ni ya waliojaaliwa na attitude/ fighting spirit nayo ni ya baadhi
3. unaweza kuwabadilisha wachezaji ila jiadhari na wenye talent na wenye fighting spirit, utasumbuka sana kupata replacement.
4. Simba imepungukiwa wenye talent: Okwi, Niyonzima na fighte: Kotei. Wale huwezi kuwabadilisha kirahisi.
5. Mzambique wana yule nahodha aliyefunga ana zaidi fighting spirit; kipaji kidogo na ....
Ni busara ya wenye timu na viongozi kuzitofautisha sifa hizo ndiyo za wachezaji bora siyo bora wachezaji. Huwezi kukosa magoli zaidi ya ma tatu ya wazi ukasema uko sawa. Hivi hata huyo Kagere au wengine walikuwa wanashindwa nini kumfuata kapombe kule waanzishe movement na pasi fupi?
marehemu alikuwa na mdomo sanaa...!Wapunguze mdomo aisee
Hasa mashabiki wao wana mdomo sana mchafu mnoo
Soka halipo hivyo !