Napitwaje sasa?Wewe ukioa nikaribishe... I'll be there.[emoji39][emoji39]hupitwi mamiii
hahaha... umetisha sanaNapitwaje sasa?Wewe ukioa nikaribishe... I'll be there.[emoji39][emoji39]
Bana usitafute nipigwe na Miss Natafuta!
Hana lolote. We zidisha ujirani mwema na komredi wangu Nyani Ngabu.Bana usitafute nipigwe na Miss Natafuta!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji117][emoji119]Hapa wanaume wa mikoani wanapita mbalii sana hawatii neno
Bana usitafute nipigwe na Miss Natafuta!
[emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120]
Duuuh,utakuwa jirani na my old man,maana yeye na Mama Ndalichako ni wamepakana.Ndalichako
duuh mkuu mbona ka unaongopa vile Saida anaishi nyasaka afu siku hizi show zake anapigia uwanjani tu kiingilio buku mara nyingi anapenda kufanyia show zake kule MhanduSaida kaloli dah anauza chips sasa ivi nyakato- mwanza
National nyakatoduuh mkuu mbona ka unaongopa vile Saida anaishi nyasaka afu siku hizi show zake anapigia uwanjani tu kiingilio buku mara nyingi anapenda kufanyia show zake kule Mhandu