Unaishije na wanyarwanda mtaani kwenu? Tabia zao zipoje? Ujirani wenu upoje?! Sifa zao zipoje?
Uzi maalumu wa kujua mienendo za majirani tunaoishi nao ambao asili yao ni kutoka Rwanda namna wanavyoishi mtaani pamoja na tabia zote
Karibuni tushirikishane story kuhusu wao.