Computer4Sale Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyofanya kazi

Computer4Sale Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyofanya kazi

Joined
Mar 6, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Kununua printer pasipo kujua tofauti zake ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia.

Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyo fanya kazi namna unavyotaka.

Unatakiwa ujue kwa nini unaitaji Printer,

Gharama ya printer na wino wake,

Ubora wa picha unaotaka.

Speed ya Printer unayotaka.

Wingi wa Kratasi unazotaka upate.

Kupata Mjibu zaidi ya printer ipi ununue

Pitia Mica – Computer
Or Call 0755 733 357
Untitled-1.jpg
 
Back
Top Bottom