Unaitaji mke sahihi /mume sahihi kutoka kwa mungu karibu mlima wa moto ijumaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pengine unaona malavidavi unayopewa na huyo mwanaume ama mwanamke ukahisi ndio mke ama mume sahihi uliepangiwa la hasha kuwa na mazoea ya kumruhusu mungu aingilie katio kwenye mahusiano yenu chukua muda dada umpe mungu aingilie kati..akupe yule alie sahihi usimwombe huyo ulie nae awe sahihi la hasha mwache akuchagulie..ninao ushuhuda mzito sana juu yangu nakupa kama siri yako niliwahi kumfwata mch mwakasege nina itaji aniombeeeee mke sahihi wakti huo nikiwa na google,,akaniambia umeamua kweli nkamwambia kweliiiiii kabisa wakati huo nikiwa na binti nilie kaa nae 1yr uwezi amini ndan ya mwezi vitu vikaanza kuchench mara unajua niko ttyt unajua ..ukimtafuta insuch mapenzi yale ya zamani yakawa ndio bye bye ikawa kama yale maombi yanamtimua bila kujua leo niko na alie kutoka kwa bwana aka mama didy binti wa yesu

so njoo kwenye huo mkesha ijumaa saa tatu mpaka sita pale mwenge kanisa la mikocheni b assemblies of god ,kumbuka m si mshirika pale ila napenda kushiriki baadhi ya vipindi vinavyoonijenga kiroho ,nduugu yangu utahisi unapoteza muda lakini mkesha una mambo makubwa ,tupunguze kuwapa shida wale majaji mahakimu kila siku kwenye kesi za ndoa jamani tuombe intervation ya mungu kabla akijalipuka

nawatakia ndoa yenye baraka ana amani
 
Ushuhuda utatoa hiyo kesho au umeishia hapo. Mi napenda mastori ya ukweli ntakuja
 
Mchungaji nitumie ticket ya pipa x2 tu ntakuwepo hapo.
 
Kuna thread moja juzi usiku ulijifanya kuianzisha, Madada wa JF wakakukomalia wewe ni mwanamke kulingana na maandishi yako wewe mwenyewe na haujakana wala kubadilisha kitu, leo umekuwa mume!!!!! au wewe ni.....????
 
Mke mwema hutoka kwa BWANA!!Wengine wanasema wanasubiria walioachika!!
 
haya, watakuja.
Itabidi tupitia somo la ishara na imani pia.
 
kuna thread moja juzi usiku ulijifanya kuianzisha, madada wa jf wakakukomalia wewe ni mwanamke kulingana na maandishi yako wewe mwenyewe na haujakana wala kubadilisha kitu, leo umekuwa mume!!!!! Au wewe ni.....????

mume/mke mwema kutoka kwa bwana una shida ya kujua jinsia yangu ama kuponya maisha yako
loh!!
 
Nakupa ushari wa bure.Uko kwenye imani potofu,toka huko.Mn'gang'anie Yesu akufunulie jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…