Unaitumiaje JF Kibiashara?

Unaitumiaje JF Kibiashara?

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
JF ina members zaidi ya 400,000! Hizi figures nimezisoma hapo pembeni kulia kwa wanaotumia browser. Sasa hivi ninavyoandika kuna watu 2,500 online karibu nusu wanaperuzi kama guests.
Imagine ukiweza kupata wateja 5 tu kila siku kutoka Jf kwa mwaka utakuwa umeinginza kiasi gani. Tusiitumie JF kupiga soga tu tutumie fursa ya umati unaotembelea JF kila siku.
Binafsi naishukuru sana JF na members wote nimepata wateja wengi sana kupitia humu.
 
JF ina members zaidi ya 400,000! Hizi figures nimezisoma hapo pembeni kulia kwa wanaotumia browser. Sasa hivi ninavyoandika kuna watu 2,500 online karibu nusu wanaperuzi kama guests.
Unaitumiaje JF Kibiashara?
- Inanikutanisha na wengi, ndani ya nchi na nje ya nchi. hasa kupitia hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
upload_2018-5-19_11-5-11.png

- Kama sio JF nisingeweza kufikisha order zaidi ya 300+ kwa mtandao mmoja tu ALIEXPRESS, bado kuna orders toka MAZON, EBAY na mitandao mingine mingi
Imagine ukiweza kupata wateja 5 tu kila siku kutoka Jf kwa mwaka utakuwa umeinginza kiasi gani. Tusiitumie JF kupiga soga tu tutumie fursa ya umati unaotembelea JF kila siku.
Hakika, wengi tumeshindwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya.
Binafsi naishukuru sana JF na members wote nimepata wateja wengi sana kupitia humu.
Tuko kwenye boti moja katika hili.

Viva JF!!
 
Unaitumiaje JF Kibiashara?
- Inanikutanisha na wengi, ndani ya nchi na nje ya nchi. hasa kupitia hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 781106

- Kama sio JF nisingeweza kufikisha order zaidi ya 300+ kwa mtandao mmoja tu ALIEXPRESS, bado kuna orders toka MAZON, EBAY na mitandao mingine mingi
Hakika, wengi tumeshindwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya.

Tuko kwenye boti moja katika hili.

Viva JF!!
Nimekusoma mkuu, tutumie vema fursa hizi. Wenye JF yao wametoa uhuru kwa sisi wadogowadogo tujitangaze humu bure tu.
 
Aisee sio kweli kwamba humu kuna member wa idadi uliyoitaja ninachokifahamu ni kuwa humu member hatufiki 43 ila multiple ID ndyo uchawi mkuu
 
Ushauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana. Ila kiukweli hili ni bonge la soko kwa bidhaa mbalimbali

Inabidi kila mtu afanye utafiti wake na aamue kuanza kuwaamini wengine. Wapo watu wa ukweli humu.
 
Tukiachana na ile dhana -TAPELI- . JF ni soko zuri sana tatizo ukileta Tangazo la biashara au kazi humu watu wanakuita tapeli. Sikatai labda kuna watu wamewahi kutapeliwa lakini si kila mtu anaeleta humu tangazo la kazi au biashara ni tapeli. Mimi binafsi kuna kijana nimempata humu na sa hivi yupo kazini.

Accountant needed urgently
 
Inabidi kila mtu afanye utafiti wake na aamue kuanza kuwaamini wengine. Wapo watu wa ukweli humu.
Niliwahi kupata wateja kadhaa wa maana sana humu. Tatizo la wengi tunaogopana mno muuzaji anaogopa kuweka mawasiliano kwa hofu ya kujulikana, wanunuzi nao wanakuja kwa uoga ili wasijulikane basi tabu tupu.

Nafikiri ni vyema wajasiliamali kuweka wazi mawasiliano yao pale wanapotangaza biashara ili watu wawe huru kuwatafuta pasipo kutambulika ID zao.
 
Hilo ni tatizo, lakini members wanaweza kujisajiri na ID mpya wanazoweza kuzitumia kwenye jukwaa la biashara tu halafu IDs nyingine kwenye majukwaa mengine.

Hivyo watakuwa huru bila uoga wowote.
 
Ushauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana.
Ukiwa halisi kwa kile unachokifanya hakuna sababu ya kuogopa.
Iga mfano wa wanaJF hawa
- Wanaouza magari kupitia JF
- Wanauza bidhaa tofauti tofauti.
Pitia jukwaa la matangazo madogo madogo kuna mengi utajifunga na ufahamu utafunguka jinsi gani ya kutumia JF kimanufaa zaidi.

Au tumia muda kusoma huu ukurasa wangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Pia soma comments za wadau kwenye hiyo thread, hakika utabadilika kimtazamo.
 
Tatizo la wengi tunaogopana mno muuzaji anaogopa kuweka mawasiliano kwa hofu ya kujulikana, wanunuzi nao wanakuja kwa uoga ili wasijulikane basi tabu tupu.
PItia uzi wangu wa manunuzi mtandaoni, kuna jambo utajifunza.
 
Ushauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana. Ila kiukweli hili ni bonge la soko kwa bidhaa mbalimbali
Mbona mimi nilikuamini then ukani backfire...... tehteehhh
 
Hilo ni tatizo, lakini members wanaweza kujisajiri na ID mpya wanazoweza kuzitumia kwenye jukwaa la biashara tu halafu IDs nyingine kwenye majukwaa mengine.

Hivyo watakuwa huru bila uoga wowote.
Wazo zuri
 
Mbona mimi nilikuamini then ukani backfire...... tehteehhh
Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu tafadhali[emoji23]. Wajua fika kuwa kimbunga cha kubana matumizi kiliniumiza mno ikabidi nijipange upya!
 
Back
Top Bottom