Unaitumiaje JF Kibiashara?JF ina members zaidi ya 400,000! Hizi figures nimezisoma hapo pembeni kulia kwa wanaotumia browser. Sasa hivi ninavyoandika kuna watu 2,500 online karibu nusu wanaperuzi kama guests.
Hakika, wengi tumeshindwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya.Imagine ukiweza kupata wateja 5 tu kila siku kutoka Jf kwa mwaka utakuwa umeinginza kiasi gani. Tusiitumie JF kupiga soga tu tutumie fursa ya umati unaotembelea JF kila siku.
Tuko kwenye boti moja katika hili.Binafsi naishukuru sana JF na members wote nimepata wateja wengi sana kupitia humu.
Nimekusoma mkuu, tutumie vema fursa hizi. Wenye JF yao wametoa uhuru kwa sisi wadogowadogo tujitangaze humu bure tu.Unaitumiaje JF Kibiashara?
- Inanikutanisha na wengi, ndani ya nchi na nje ya nchi. hasa kupitia hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 781106
- Kama sio JF nisingeweza kufikisha order zaidi ya 300+ kwa mtandao mmoja tu ALIEXPRESS, bado kuna orders toka MAZON, EBAY na mitandao mingine mingi
Hakika, wengi tumeshindwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya.
Tuko kwenye boti moja katika hili.
Viva JF!!
Aisee sio kweli kwamba humu kuna member wa idadi uliyoitaja ninachokifahamu ni kuwa humu member hatufiki 43 ila multiple ID ndyo uchawi mkuu
Unajua mm ninazo ngapi?kwahiyo, katika hawo member 43, kila mmoja ana maltiple ID 10,000+ mbona hakuna ratio na haiwezeani
kwahiyo, katika hawo member 43, kila mmoja ana maltiple ID 10,000+ mbona hakuna ratio na haiwezeani
Ushauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana. Ila kiukweli hili ni bonge la soko kwa bidhaa mbalimbali
Niliwahi kupata wateja kadhaa wa maana sana humu. Tatizo la wengi tunaogopana mno muuzaji anaogopa kuweka mawasiliano kwa hofu ya kujulikana, wanunuzi nao wanakuja kwa uoga ili wasijulikane basi tabu tupu.Inabidi kila mtu afanye utafiti wake na aamue kuanza kuwaamini wengine. Wapo watu wa ukweli humu.
Niliwahi kupata wateja kadhaa wa maana sana humu. Tatizo la wengi tunaogopana mno muuzaji anaogopa kuweka mawasiliano kwa hofu ya kujulikana, wanunuzi nao wanakuja kwa uoga ili wasijulikane basi tabu tupu.
Nafikiri ni vyema wajasiliamali kuweka wazi mawasiliano yao pale wanapotangaza biashara ili watu wawe huru kuwatafuta pasipo kutambulika ID zao.
Ukiwa halisi kwa kile unachokifanya hakuna sababu ya kuogopa.Ushauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana.
PItia uzi wangu wa manunuzi mtandaoni, kuna jambo utajifunza.Tatizo la wengi tunaogopana mno muuzaji anaogopa kuweka mawasiliano kwa hofu ya kujulikana, wanunuzi nao wanakuja kwa uoga ili wasijulikane basi tabu tupu.
Mbona mimi nilikuamini then ukani backfire...... tehteehhhUshauri kuntu huu, shida ya jf hatuaminiani na tunaogopana. Ila kiukweli hili ni bonge la soko kwa bidhaa mbalimbali
Asante kwa taarifa hii, nitautafuta.PItia uzi wangu wa manunuzi mtandaoni, kuna jambo utajifunza.
Wazo zuriHilo ni tatizo, lakini members wanaweza kujisajiri na ID mpya wanazoweza kuzitumia kwenye jukwaa la biashara tu halafu IDs nyingine kwenye majukwaa mengine.
Hivyo watakuwa huru bila uoga wowote.
Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu tafadhali[emoji23]. Wajua fika kuwa kimbunga cha kubana matumizi kiliniumiza mno ikabidi nijipange upya!Mbona mimi nilikuamini then ukani backfire...... tehteehhh