GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Habari za wakati huu wanamichezo. Naamini wengi wenu au baadhi yenu humu jukwaani mnatumia samsung phones. Sasa basi samsung wana application inaitwa samsung health
Kazi ya hii app ni ku track your fitness, weight, diet, food & sleep. Hii app huweza kurecord na kuainisha shughuli zako za kila siku na mazoea kwa lengo la kukusaidia kukeep health lifestyle.
Whether you walk or run, hike or bike, play indoor or outdoor sports, you can add and track the various physical exercises and activities in a single step using the various built-in trackers.
Mimi napenda kufamya mazoezi ya kukimbia (jogging) asubuh kabla ya kwenda kazini. Nimekuwa nikiifurahia sana kwa sababu inaonesha km nilizokimbia na kutrack njia niliyopita kwa kutumia GPS in high accuracy
pia huonesha speed niliyokimbia na kuonesha elevation na kuchora graph.
Naamini kuna wengine mnaitumia pia hii app. Naomba uweze kushirikisha uzoefu wako katika kuitumia hii app.
Japo kuna baadhi ya maneno kwenye workout details siyaelewi maana zake. Naamimini wataalamu mtanisaidi. Maneno hayo ni
Avg. Pace
Avg. Cadence
Nawasilisha