Unaitumiaje samsung health app katika kuweka mwili wako vizuri? (Physically fit)

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Habari za wakati huu wanamichezo. Naamini wengi wenu au baadhi yenu humu jukwaani mnatumia samsung phones. Sasa basi samsung wana application inaitwa samsung health

Kazi ya hii app ni ku track your fitness, weight, diet, food & sleep. Hii app huweza kurecord na kuainisha shughuli zako za kila siku na mazoea kwa lengo la kukusaidia kukeep health lifestyle.

Whether you walk or run, hike or bike, play indoor or outdoor sports, you can add and track the various physical exercises and activities in a single step using the various built-in trackers.

Mimi napenda kufamya mazoezi ya kukimbia (jogging) asubuh kabla ya kwenda kazini. Nimekuwa nikiifurahia sana kwa sababu inaonesha km nilizokimbia na kutrack njia niliyopita kwa kutumia GPS in high accuracy

pia huonesha speed niliyokimbia na kuonesha elevation na kuchora graph.

Naamini kuna wengine mnaitumia pia hii app. Naomba uweze kushirikisha uzoefu wako katika kuitumia hii app.

Japo kuna baadhi ya maneno kwenye workout details siyaelewi maana zake. Naamimini wataalamu mtanisaidi. Maneno hayo ni

Avg. Pace
Avg. Cadence

Nawasilisha



 
Maashallah umenisaidia nami kujua baadhi ya vitu ambavyo sikua nikivijua ijapo ilikua ninavitumia
 
Mkuu mimi tizi langu kubwa ni kuruka kamba...sasa natumia Samsung na hii app ninayo. Naitumiaje kwenye kuruka kamba
Ok fanya yafuatayo kujaribu kuitumia
1. Fungua app na tafuta s3hemu pameandikwa "manage items". Angalia kwenye hii picha


2. Fungua hiyo manage items kisha utaona orodha ndefu ya mazoezi. Shuka chini na chagua "rope skipping" kisha iwashe iwe on.


3. Baada ya kuifungua na kuiwasha utarud nyuma na kuona imejiongeza kwenye orodha kama hivi



4. Uta "start" na kuiruhusu iweze kutrack. Hapa unaweza iweka hata mfuko wa shat lako na kuendelea kuruka. Baada ya kumaliza itaonesha record yako. Lakin kwa kuanza jaribu kuishika mkononi tu na kuangalia inafanya vipi kazi.
Nawasilisah
 
hata kwenye kugegeda inafaa kutrack speed ya mgegedo?
 
Huo mchoro wa kwanza kabisa kuna mahali unaonesha kasi ya sifuri (0), ulikuwa umegafua ukakaa chini mkuu au!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…