batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Hapana mama, sina kabisa.
Mume wangu
Unanikumbusha mmasai mmoja jina "Shemeji Mesiyeki"Menyendoye Ole Lomnyaki Saidimu Kariankei Pusindare
[emoji38][emoji38]jina langu na lake yanafanana eti
π€π€π€
Nimeshindwa kulitamka.
Sio lazima utamke kila kilichoandikwa kijanaNimeshindwa kulitamka.
π Nakubali kubaki nyuma basi, kesho natafuta mtu anifundishe kulitamka.π