Unajijua hujiwezi kusimama pambana upate siti kwenye daladala, kupishwa ukae si lazima

Unajijua hujiwezi kusimama pambana upate siti kwenye daladala, kupishwa ukae si lazima

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello...

Jijini hapa mihangiko mingi.

Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi.

Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine wakamaria wanahangaika wanageuka na gari kwa ghalama ya ziada ili wapate muda watengeneze mikeka.

Wengine ndio muda wetu kupitia text mbalimbali na kuzijibu.

Kupishwa ni hisani, pambana ukijijua hali yako hairuhusu basi fanya kama wafanyavyo wengine geuka na gari upate kukaa..

Kama una haraka basi kubali kushikilia bomba hakuna namna.
 
Kuna za Gongolamboto, za Chanika na za Mbagara mpaka gari za kugeuka nazo kuzipata mpaka utoe rushwa kwa mpiga debe au upigane ngumu.
Nunueni gari, pikipiki au baiskeli.
Daladala ni usafiri wa maskini
 
Back
Top Bottom