Unajiona una mikosi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Unajiona una MKOSI Kumbe Ulivyokua SHULE Ulikua Unaandika Jina Lako Kwenye Kuta za CHOO!

Alikwambia nani CHOONI kuna Baraka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashukuru Mungu huu ujinga ulinipitia kushoto.

Lakini Mkuu Mshana Jr shule kule kwenye kuta za choo si walikuwa wanaandika majina yao ya kibaharia tu , inamaana mkosi unajua mpaka jina la a.k.a?
Aliwazalo mtu ndio huwa... Mwandiko wake umebeba dhima na uhalisia wake... Kuna mahusiano ya moja kwa moja kiroho na majina tunayojipa imagine unajiita Magonjwa Mtambuka.... [emoji848][emoji12]
 
Tena unaandika "KUKATA GOGO NI RAHA ASIKUAMBIE MTU"

Hahahahahaaa
 
wapi kiki tu izo kuna jamaa tunasoma nae aliandika kwa kutumia mavi kabisa lakini asaivi ni mbunge Jimbo flani uko MBEYA
 
wapi kiki tu izo kuna jamaa tunasoma nae aliandika kwa kutumia mavi kabisa lakini asaivi ni mbunge Jimbo flani uko MBEYA
Yeye sio wewe... Usipende kusafiria nyota ya mtu[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…