Unajiona una mikosi?

nliona ukuta umeandikwa AKUMBUKWE POPO BAWA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]alieandika kama sio james delicious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] basi juma lokole
 
Dah..kwa uzi huu..tutegemee kuta za mabenki na nyumba za ibada kuchafuka....kwa kifupi ni uzi wa KICHOCHEZI 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ndo Niko mbioni naenda kutafuta maana si kwa kupigwa kibuti huku..🏃🏃🏃
 
nliona ukuta umeandikwa AKUMBUKWE POPO BAWA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]alieandika kama sio james delicious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] basi juma lokole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]
 
Ndo Niko mbioni naenda kutafuta maana si kwa kupigwa kibuti huku..[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]
 
wapi kiki tu izo kuna jamaa tunasoma nae aliandika kwa kutumia mavi kabisa lakini asaivi ni mbunge Jimbo flani uko MBEYA
Yeye sio wewe... Usipende kusafiria nyota ya mtu[emoji12]
Kwani wewe unamwambia Nani mkuu!?
Hebu fafanua hapo. Maana nimemuelewa kuwa swala la kuandika jina Chooni halihusiani na maikosi ya mtu. Akatolea mfano wa huyo mbunge. Sasa wewe wasema yeye sio huyo.. Ndio. Lkn huyo aliandika na hakukutana na mikosi na zaidi yupo poa, na yeye huenda hakuandika lkn ndio mikosi imemuandama...
 
Nilimaanisha huyo aliyemtaja sio yeye
 
Tena unaandika "KUKATA GOGO NI RAHA ASIKUAMBIE MTU"

Hahahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio avatar yako ni kipindi uko mtoto ulikua umesimisha masikio kama sungura wa sizitaki mbichi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…