Unajiona una mikosi?

fungua thread yako shubakengemit ww
Nimetumia dakika 10 kutafakari jibu la kukupa, ila nahisi hio comment imekugusa kwasababu watu wengi wanajitia mikosi kwasababu mikono yao wanaitumia vibaya kwako (kupata magundu yasio na tiba).[emoji2955][emoji848]
 
🤔🤔ngoja nifanye ziara shule zote nilizowahi kupita.🏃
 
Nimetumia dakika 10 kutafakari jibu la kukupa, ila nahisi hio comment imekugusa kwasababu watu wengi wanajitia mikosi kwasababu mikono yao wanaitumia vibaya kwako (kupata magundu yasio na tiba).[emoji2955][emoji848]
Pole sana kwa matatizo yako mkuu ndio dunia ilivyo, vumilia ipo siku utatoboa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…