Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Mimi hua natia mrehani au mpachori au yasmini yanakua na haruf nzuri mnokwa wale ambao wanadhani ukitengeneza mafuta ya nazi kisha ukaweka mdalasini, hiliki, karafuu au kimoja wapo, eti utanukia kama pilau laa hasha!
Ukiweka vitu hivyo vinasaidia kukata ile harufu ya Nazi, sio kila ukipishana na mtu ajue kua umepaka mafuta ya nazi, ndio maana tunaweka hivyo viungo na wala unakua hunukii viungo hivyo so kuweni na amani wapendwa,
Kuweka maua kama Yasmeen si mbaya ila kama una alegy ya maua au vitu vyenye harufu kali (kama mie hapa) sikushauri.
Mrehani, wow nitaujaribu upo home....Mimi hua natia mrehani au mpachori au yasmini yanakua na haruf nzuri mno
Mrehan chukua majani yake tu alaf yatie katika mafuta na uyaweke ktk moto mpk uone majani yote yamekauka ,alaf ipua wacha mafuta yapoe then ndo uchuje,mm ndo nifanyavo ivo yani harufu yake usisikie hata ukijipaka mwilin we mwenyew unajipenda kwa ile harufMrehani, wow nitaujaribu upo home....
Yasmeen sithubutu nitapiga chafya hapo mpk basi.
khaaah!!! nikikuona nakuunga na dagaa wa kigoma.Mawese
Hiyo si inachubua au???top lemon
Mkuu hizo karafuu,mdalasini na iliki unazichanganyaje kwenye mafutaDuuh! Una "aleji" kama mimi nini?
Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.
Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Arabian queen we mwarabu Wa wapi [emoji12]Mrehan chukua majani yake tu alaf yatie katika mafuta na uyaweke ktk moto mpk uone majani yote yamekauka ,alaf ipua wacha mafuta yapoe then ndo uchuje,mm ndo nifanyavo ivo yani harufu yake usisikie hata ukijipaka mwilin we mwenyew unajipenda kwa ile haruf
samahn mkuu wewe ni mweupe au mweusiHebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
hiyo carotone itanifaa mimi mweusi, na je nikijipaka haitanibadilisha rangi ?Naogea kalambora napaka carotone body cream
maji ya kundesamahn mkuu wewe ni mweupe au mweusi
na mimi nikipaka hayo mafuta yatanifaa kwel, maana nilipaka parachuti yakanikataamaji ya kunde