HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza .
Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka bafuni .
So funny vitu vingi tunavyovilinda ndio tunavyopost mitandaoni, yaani simu inalindwa kuliko Nyeti .