HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Hivi sehemu za siri bado zina usiri ule ule?Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza .
Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka bafuni .
So funny vitu vingi tunavyovilinda ndio tunavyopost mitandaoni, yaani simu inalindwa kuliko Nyeti .
Shimo la Tewa likoje?Sehemu za Siri siku hizi zinapelekewa moto na watu wa kila aina mpaka zimepanuka na kuwa na kina kirefu utadhani 'shimo la tewa'
BALTAZARI anaupiga mwingi mpaka anaomba shimo la mbolea.ππππ
Ni shimo refu na pana yaani ukitumbukia ndani yake kwisha habari yako.Shimo la Tewa likoje?