Unajisikiaje ukiitazama hii picha.....

Unajisikiaje ukiitazama hii picha.....

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
....... WAKATI MFUKONI HUNA KITU, HUJALA, WATOTO HAWAJALA, BANK SALIO HALISOMI, WALLET HAINA HATA SH. 500?

Tanzania-10000_Shillings-2003.jpg
 
kama siku zote tu, manake sie wengine ndiyo maisha yetu ya kila siku
 
namsikitikiatu huyo tembo hapo mana amesimama toka mwaka ambao hela imekua printed hajawajhi kumove wala kula.
 
Tanzania-10000_Shillings-2003.jpg


Nadhani hii siyo pesa halali kwa kuwa imesainiwa na Mzee PESAMBILI na BALALI.

Nitakachofanya tamfuata PESAMBILI anipatie PESAMOJA maana yeye tayari anazo mbili.:car:
 
Najisikia vibaya nikiiona hiyo sahihi ya Mramba natamani niichanechane nina hasira naye kichizi.
 
that is not funny!!!!!!!!!!!!!!!!:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
Back
Top Bottom