Halafu unamuuliza ili iwe nini?Kwannukutane nae kwanza? Umemjuaje pia? Msiwe mnauliza maex wa wapenz wenu kama mna mioyo rojo jamen
Huko ni kutokujiamini!!Hakuna cha maana ni mpishano tu.
How it feels to meet someone who was once in love with your wife or love, the man whom your wife/love was once madly in love with him, doing all stupid stuffs ? the man who sees your wife through the dressing she has? how is the experience ? those who married single mothers are special and they should not be discussed here.
Eti bhana😳🙄Halafu unamuuliza ili iwe nini?
Hujakuta mtu na bikra afu unauliza kuhusu ex wake ni ufala.. we anzia alipoishia mwenzio maisha yaendeleeEti bhana😳🙄
🤣🤣🤣Hujakuta mtu na bikra afu unauliza kuhusu ex wake ni ufala.. we anzia alipoishia mwenzio maisha yaendelee
Haha kweli mkuu mi kuna dem nilipita nae ni nesi sasa wife akimpeleka mtoto klinik anasema anamnunia ajui kisa ni nini ila mi nakausha tu kimoyomoyo najaua chanzo.Wanaume sisi baba yetu mmoja hata kama tunashea demu mmoja at once au kwa vipindi tofauti tofauti yani hata tukutane kitaa au kijiweni story zinapanda sana hakuna kuleta pigo za kiwaki mwaisa. Subiri sasa kwa wanawake asee walio shea bwana mmoja au wanashea bwana mmoja wakutane mtaani asee vumbi la hapo sio la nchii hii ni la Dafur. Wanawake sijui mpoje yaani.
Ushauri mzuri sana ....ila Ex ni kama mavi ....hupendi kumuona ila ukiwa mazingira karibu utajikuta unamjua.Kwannukutane nae kwanza? Umemjuaje pia? Msiwe mnauliza maex wa wapenz wenu kama mna mioyo rojo jamen
Hahaha acha kusema ukweli inatuumiza moyo bwasheeNi vile unavyo feel unapomuona mmiliki wa kwanza wa gari yako ya mtumba.
Kwamba ni zero kilometer? Kwamba hata zile race za bafuni hajapiga?Wangu hana Ex eti