Unajisikiaje unapokutana na ex wa mke wako au mpenzi wako?

Yan mm had nimuonyeshe Exi, X sijui Ekisi..
Basi ujue tunaenda kuachana sasa... Huo ujinga sifanyi....
 
Hii mada haituhusu wale tuliooa wale wapya kabisa !! Mtoto hajawahi hata kushikwa mkono ,
Nilimfungulia dunia mwenyewe , sikumdanganya nikaoa mazima !!!
 
Kwa wivu wangu ningekuwa nazimia kila ninapokutana nae.
 
Haha kweli mkuu mi kuna dem nilipita nae ni nesi sasa wife akimpeleka mtoto klinik anasema anamnunia ajui kisa ni nini ila mi nakausha tu kimoyomoyo najaua chanzo.
Duuh!
Kwani kuna hospital moja tu?
Mwambie wife wako apeleke mtoto kwingine..
Siku dogo akidungwa sumu au akipandikiziwa virusi ndo utajua hujui!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…