D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
[emoji23][emoji23][emoji23] Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]