Duuh hiyo ishamtokea jamaa yangu juz juz kwenye pepa. Msimamiz alivotazama jamaa anavojibu akauliza, "hivi huwa mnashika nafasi ya ngapi kimkoa mtihani wa taifa?"
Akajibiwa .... akaguna halaf akasema haaya!