Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me tayari nishawahama nimerudi nyumbani Ttcl TamTam buku 1.2GB kwa weeksmatika airtel wamepunguza ilikua gb 2 siku 3 saivi 1.5 nawahama sasaivi
Ama 4G, elfu1 gb1.24 siku.Mega bando by halopesa TSH 1000 GB 1 dakika 10 wiki nzima.
Halotel wanakuacha utumie 200mb kwa spidi baada ya hapo spidi inasuasua kina kitu wanafanya hawaMega bando by halopesa TSH 1000 GB 1 dakika 10 wiki nzima.
Mbona inajitahidi sanaTigo, buku 2 GB 1 kwa wiki
Inakaa siku tatu tu.
Ni sehemu ya kuingizia kipato! Ichimbe zaidi hautajutaZama hizi internet inakuwa anasa. Ujinga mwingi sana.
Punguza mizimu kwenye simu yakoHalotel wanakuacha utumie 200mb kwa spidi baada ya hapo spidi inasuasua kina kitu wanafanya hawa
Ni 10000 kwa mweziRoyal bundle mwezi 30,000.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]