Naihusudisha sana hii gari ina class ya pekee yake katika magari yote duniani ikifuatiwa na ultimate driving machine, BMW. Ukiingia kwenye zile za class ya juu hata njaa inakimbia.:car:
Acha uhuni boflo wenyewe wakikuona wanaweza kabisa kukufungulia mashtaka.