wanaume wenyewe wa siku hizi goigoi, kwanini nijinyime uhondo mapema?
wanaume wenyewe wa siku hizi goigoi, kwanini nijinyime uhondo mapema?
Unawanaume kijiji? Maana ulichoandika unatuambia kwamba una wanaume wengi sasa? Unabahati mbaya sana kwamba kila mwanaume unaetembea nae ni goi goi.... Anyway, endelea tu utapata super straight siku moja..............
Unao wangapi Nazjaz??wanaume wenyewe wa siku hizi goigoi, kwanini nijinyime uhondo mapema?