Mimi ni philosopher. Hata binaadam wakianza tena kutembea uchi mimi naona sawa tu., maana anaetembea au kusimama namfahamu hadi skeletal system bila kujali kama kafunga rubega, kasokota nyasi, au kavaa suti. Hasa mwenye kiherehere mwenye kuongea ovyo ndo namfikiria namfahamu mapema. Ah wakae hivyo hivyo bana.