naona jukwaa ni mahala pazuri pa kujifunza, mwanzoni sikuzijua hizo socratic na rhetoric methods nahisi kwa vile zimekaa kiphilosoph zaidi kuliko psychology (am i rationalizing?). the good thing is atleast now i know what socratic and rhetoric methods are especially the balance btn eloquence and wise silence.Kama nilivyosema mwanzo, Socratic method ni muhimu kwa sababu mie siko hapa kuwa mwalimu wako, wote tunaeleweshana.
Sasa wewe usivyonielewesha unavyoelewa na mie naweza kuingia katika mtego wa kufikiri nakufundisha kumbe unajua.
Maswali ni muhimu, na unapoona maswali ni ya "kimitegomitego" ni kwa sababu hujajua nature halisi ya maswali, kuufunua zaidi ukweli na wala si kutegana nani anajua zaidi.
sasa kama mimi nina miaka 25 nitajijuaje nafanya mambo ya miaka 35 ili nijue IQ yangu iko juu? nadhani kungekuwa na jedwali pia mtuoneshe ni mambo gani yanatarajiwa kwenye umri gani!tatizo hata hesabu rahisi mnataka kukimbia! hebu kazeni vichwa mtaelewa. halafu mkitaka niwaeleze zaidi ya hapo mtaishia kunitukana! halafu king kong hayo maelezo sijayatoa kwa mtu ambae haelewi kabisa
nimepiga yangu ila naona kwenye table haipo twakimu nilizopata nifanyaje
ningekuona una akili ungeongezea hayo unayojua kwenye huu uzi ili uwe na faida zaidi, we unakuja na maswali ya kimitegomitego,mamisamiati na jinsi unavyoongea na akina pavlov na skinner kana kwamba tunashindana. halafu kuhusu watu wa amazon nilishasema setting ya test hutegemea mazingira.
hii inategemea na culture kwa mfano katika tamaduni za wavuvi wanategemea mtu akifika miaka fulani awe anajua aina kadhaa za samaki labda miaka mitano anajua kumi, miaka kumi anajua ishirini sasa ukiwa na miaka kumi na unajua aina kumi tu basi mental age yako ni miaka mitano.Unajuavipi kama hili jambo ni la mtu wa miaka 10 na hili ni la wa miaka 20??? Kilimo? unyumba??? umenichanganya ngoja nikapumzike kwenye vimbweta
IQ si kipimo cha intelligence, na huwezi kuongelea kipimo cha intelligence wakati hata huja define intelligence ni nini.
Hatutaki habari za kukariri "Area of a cycle equals pi times radius squared" ukiulizwa pi ni nini hujui, unasema ni formula niliyopewa, imetoka wapi? Unajibu nyuma ya daftari.
Kama hii kweli ni intelligence forum lazima tuchunguze mambo deeply, sio kuchukua mambo tu kwa sababu tumepewa formula nyuma ya daftari.
And I can add creativity to that.
sure inapotea siku hizi haitumiki sana, ilitumika sana kipindi cha WW2 katika kuchagua maofisa wa jeshi lakini kwa upande wangu siioni tofauti sana na hii mitihani inayotumika kujaji uelewa wa watu hasa huku Africa unafikiri imebase kwenye creativity au ni kama ishu ya IQ.Nilipoanza kusoma mada, hiki (in red) ndicho kitu cha kwanza kilicho-click in my mind. I think the IQ thing is heading for the grave these days, for it's regarded as a childish play. People talk more about brainstorming -- creativity -- nowadays.
mental age 7+6=13a child of 4th Grade performed correctly the grade six algebra, assume the enrollment age in Tanzanian schools is 7 yrs!
now calculate 1. child's mental age
2. child's chronological age
3. his IQ
mental age 7+6=13
chronological 7+4=11
IQ score 13/11*100=118
am i right?
thanks for another chance
mental age 7+5=12
chronological age 7+3=10
IQ 12/10*100=120
zaidi ya hapo nikupe mji.