unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

uko juu sana.nakupa zoezi la kukokoto iq ya nape mnauye!
 
uko juu sana.nakupa zoezi la kukokoto iq ya nape mnauye!

nipe UMRI wake wa Kuzaliwa (Chronological age). kisha tutapima umri wake wa akili (mental age) kupitia matendo yake, mazungumzo yake na uwezo wake na kuchambua masuala, matukio na kutatua matatizo. then tutatumia formula yetu kujua IQ yake!
 
nape nnauye ana miaka 34.
 
nimekupata vyema .Babu yako alijaribiwa kwa kitendawili,."nyumba yangu haina mlango",akakosa jibu.tuchanganulie kimazingira iq yake ikoje
 
nape nnauye ana miaka 34.

Basi kama ana miaka 34, chlonological age yake ni miaka 34, sasa hapa tusaidiane kupima umri wake wa akili kwa kuangalia mambo yafuatayo
1. Je uwezo wake wa kutatua matatizo ni sawa na mtu wa miaka mingapi?
2. Je anapoozungumza, anatumia busara sawa na mtu wa miaka mingapi?
3. Je anapochambua suala au topic, ni sawa na mtu wa umri wa miaka mingapi?
4. Je uwezo wake wa kufikiria na kutenda ni sawa na mtu wa miaka mingapi?
Kwa kifupi tu tupate Uwezo wake wa kufikiri na kutenda, ili tupate UMRI wake wa akili kisha tutumie formula hii:

Intelligence Quotient(IQ)/ Hisa ya akili= (Mental age/Umri wa Akili, divide by/gawa kwa Chronological age/ Umri wa kuzaliwa) jibu utakalopata lizidisha kwa 100. Hapo utakuwa umepata IQ yake.
 
Duuu mimi nacheza kwenye 117( according to me, niko kwenye 30z lakini nna mambo ya 40z). Itabidi siku moja tuchaguwe wana JF kumi! Ambao wako tayari kutupa miaka yao ya ukweli, then tupime uwezo wao(kutokana na michango yao humu ndani) na kuwapa age yake. Tukokotoe tuwape watu hongera zao! Mkuu malila lazma ana 144. Ana heshima, busara na hekima ya hali ya juu!
 
ningekuwa nimekariri ungeona nimecopy mavibomba ya kwenye vitabu, halafu nimeandika kwa kiswahili wakati source ni kiingereza au hujui maana ya kukariri?
hapa umeeleweka sasa kumbe hujakariri bali umetafsiri hahahahahahahahahahahahaha
 
Eti wanasema watu kama nyie ndio IQ zenu ni below 100% aka kilaza!

Wewe unaweza ukawa hujui kwamba hujui na ukajifanya unajua na huyo unayemwambia IQ yake iko below 100 akawa anajua kwamba hajui na akauliza,hapo nani zaidi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
naona mnatuingiza chaka kimya kimya
 
nimekupata vyema .Babu yako alijaribiwa kwa kitendawili,."nyumba yangu haina mlango",akakosa jibu.tuchanganulie kimazingira iq yake ikoje
hii formula huwa haiapply kwa wazee, mwisho ni miaka 16.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…