Unajua kabisaa....

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
Mtu anafahamu kabisa,huyu demu alikuwa wa rafiki yangu,tena ukute watu kibao wanajua,na wewe kwa ajili ya kutokuwa na gal,akiachwa kidogo tu unajipelekesha..huwezi kutafuta wako,mpaka ijulikane mmeshare huyo gal..Acheni hizo wanaume.
 
Tena huyo mtu anakupaje,,we c umeoa kaka tuachie sisi ma bachelor...uachiwe wewe huwezi kutafuta wakwako??mpaka tu shee huyo huyo...achen ushamba,nimeoa ndio,lakin ni nyumba ndogo yangu.nawakilisha..
 
Tena huyo mtu anakupaje,,we c umeoa kaka tuachie sisi ma bachelor...uachiwe wewe huwezi kutafuta wakwako??mpaka tu shee huyo huyo...achen ushamba,nimeoa ndio,lakin ni nyumba ndogo yangu.nawakilisha..

aahaaaaaa,AACHIWE KISA YEYE BACHELOR??HAKUNA WENGINE?? Au....
 
Yeyo bidada marida...huyu jamaa anataka kuachiwa makombo kisa bachelor...AIBU BANA.KHAAAH..
 
hajui kujinadi nin? mwaga sera upewe ushindi, uipiti kizembezembe.
 
jamani chriss brown, naupenda ule wimbo wako year 3x . duh mme shake vizuri, utanifundisha eeh. LOL
 
Memo,hata huku ni member mzur tu.kwa hiyo Ujumbe kaupata.c lazima kutupa fesibuku tu..asante lakini.
Kwa hiyo kumbe ni ujumbe spesho kwa mtu?? M-pm basi au ongea nae face to face. Pole sana
 
Tena huyo mtu anakupaje,,we c umeoa kaka tuachie sisi ma bachelor...uachiwe wewe huwezi kutafuta wakwako??mpaka tu shee huyo huyo...achen ushamba,nimeoa ndio,lakin ni nyumba ndogo yangu.nawakilisha..

acha wivu na nyumba ndogo wewe fanya wivu kwa mkeo kama watu wamefika bei wacha waoe, Mpende mkeo vimeo achana navyo!
 
acha wivu na nyumba ndogo wewe fanya wivu kwa mkeo kama watu wamefika bei wacha waoe, Mpende mkeo vimeo achana navyo!

vimeo ndo kila kitu,ndo maana,watu mpaka wanataka kushare.noma
 
kila mtu aliumbwa na mtu wake,siyo wa kushare elewa hilo.nani aibu.

Yaaani maneno yako mwenyewe yanajikanyaga...! Unaposema kila mtu kaumbwa na mtu wake so haiwezekani ku-share unamaanisha nini wakati wewe unataka watu wafanye sharing juu yako....hebu KAJIPANGE ndo urudi hapa..it seems HUJIELEWI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…