Unajua kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

Yeah, jogoo 🐓 is cool 🆒.

Jogoo akiwika hua anatangaza amani na usalama.

Jogoo akiwika sa 8 ama 9 wale wahalifu wote wanajua sasa kumekucha wanakimbia kwenda kujificha kwenye makazi yao na watu wengine wanajulishwa kwamba sasa ni salama mnaweza kuamka na kuendelea na shughuli wenu hali ni shwali nje na ni salama.

Mimi binafsi na appreciate anachokifanya jogoo.
 
Umeishasema ni imani. Uchawi na imani havina mpaka wala tofauti. Jogoo angekuwa ni alama ya baraka basi Yesu asingeuawa wala wezi wasingevunja nyumba zenye majogoo hata kuwaiba hao hao majogoo wako. Jogoo huwika kwa sababu zake za kimaisha kumaanisha kumekucha na siyo vinginevyo. Binadamu ni kiumbe mwenye akili sana lakini pia mjinga sana anayeweza kuwasingizia wanyama akiwatumia kujikweza wakati yeye ni bora kuliko wao kiakili. Ukimuita mtu simba anafurahi lakini ukimuita mbwa anachukia wakati wote ni wanyama. Mtu kuitwa simba au mbwa au jogoo ni sawa na kugeuzwa kuwa hayawani wa daraja la chini kuliko hata hao hayawani anaojilinganisha nao.
 
Si kweli kwani hawana saa au concept ya muda?
 
Mpaka saa2 usiku yanawika hayana ratiba
Akiwika saa 2 kama uko na mkeo au mumeo na anachati mnyang'anye simunikague muanze kudundana, mana jogoo hapendi ujinga pua, uko na ndoa yako halafu unachati na mchepuko[emoji28]
 
Kama ushawahi kufuga kuku wa kienyeji kule kijijini, na wakawa wengi basi chunguza zile nyumba zenye uzio wa kienyeji kama matete au minyaa. Mkiondoka wote nyumbani na mtu kuku wote watatoka kwenda kujichubgia ila jogoo hubaki ndani ya uzio ama pale pa kuingilia ndionatakua anacheza na kujitafutia chakula, mpaka mrufi ndipo huwa linaondoka na lenyewe kwenda kujichungia uko.
 
Sawa mpendwa [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Fafafnua vizuri Mkuu leo leo nikanunue jogoo, nimchinje au nimfuge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…