Unajua kama kuna mwenzio!

Meritta

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
1,303
Reaction score
294
we mwanaume umekutana na mwanamke ukampenda, ilivomwambia akakujibu kuwa ana mtu, siku zimepita kidogo akaja kuvutiwa na ww pia hivyo akakukubal. mapenz yenu yamenoga sana mpaka msichana akataka kumuacha mpenz wake wa mwanzo.kabla hajatimiza azma yake ya kumwambia mpenz wake wa zaman waachane huyo mpenz wake kamwambia kuwa anataka kwenda kwao na huyo msichana wako kujitambulisha ili amuoe, alivyokueleza ulichanganyikiwa na yeye alichanganyikiwa sasa hujui umshaul nn huyo msicha wako , kwamba umuache au umwabie aachana nahuyo jamaa. yeye anaogopa kumuacha huyo jamaa kipindi hiki sababu anamuonea huruma, je ukiwa ww utafanyaje?
 
Mbona hiyo rahisi tu kiongozi.
Kama huna mpango wa kuwa naye maishani unamruhusu anaenda kuandaa mazingira ya kuolewa then wakishakaa na jamaa yake unaendelea kumumega kwa kwenda mbele.
Iliwahi kunitokea hiyo.
 
kama nitakua nimejipanga kimaisha(yaani ninaouwezo wa kumuudumia mke)nitamwambia amkatae jamaa namimuoe mimi
 
Mbona hiyo rahisi tu kiongozi.
Kama huna mpango wa kuwa naye maishani unamruhusu anaenda kuandaa mazingira ya kuolewa then wakishakaa na jamaa yake unaendelea kumumega kwa kwenda mbele.
Iliwahi kunitokea hiyo.
uoni kuwa ikiwa mal yako ni vizur zaidi
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

i wish ningekuwa sina moyo wa kupenda
kabisaaaa.....
ningekuwa free na stress .....
 


Wifi yangu wewe genuinely najua hilo ni tatizo kubwa lakini bado imenichekesha....lol..

Yaani nimeshindwa hata ushauri maana huyo dada hajui nini anataka...
Maana kwanza ana mtu.... katongozwa .... bada ya siku chache akavutiwa
(kwa maana jamaa alirudi tena au dada alijipeleka???)... Akamwambia mpnz
mpya habari ya kuchumbiwa (kwa hiyo kakubali uchumba au kamwambia tu???)...

Hakuna mwanaume lijali wa kweli ambae akikutwa katika hio situationa atashindwa
kumshauri... Kama yuko genuine na anajua hamuoi binti itakua kisingizio kua
dada aende kea wa zamani... kama yuko genuine na anataka kumuoa atamwambia
achana na jamaa...

Na wifi mwanume yeyote akikutongoza akakwambia hajali unae mwingine as long
as muwe woote anataka tu kulala nawewe sio kukuoa maana anajua wazi
akiwa na wewe huna msimamo na sio mwaminifu... na wanaume hizo stess
za kushindana hawataki kama yupo serious nawewe...
 
hahaha,na mie nimefurahika aisee! yaani huyo dada imekula kwake manake ningekuwa mm mkaka nitamuamini vipi kuwa kabla ya mm kujitambulisha kwao kura za maoni zinaendelea kwingine? akumulikae mchana usiku atakuchoma!
 
Siwezi kuingia kwenye kisanga kama hicho,kama basi limejaa nikipanda nitakaa wapi?
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhi wish ningekuwa sina moyo wa kupendakabisaaaa.....ningekuwa free na stress .....
Pole! Unaweza kuung'oa ukaufungia kwenye kibox! I hv done it to mine and it works so perfect
 


Yaani ana "mtu"..........................akakukubali nawe ukakubali kupangwa foleni.............."halafu mapenzi yamenoga kwako"................

Staili uliyompatia ina walakini..............kwanini amekubali kirahisi kumcheat mwenzake?..........nawe jiandae............soon.....nawewe utaonewa huruma kama huyo mwenzako!
 
Aiseee! Dah!
 
isije ikawa huyo dada amekudanganya kuwa mtu wake anataka kujitambulisha kwao,mtu kama huyo,kukudanganya ni rahisi,ukadhani unapendwa,kumbe ana lake jambo
 
Mmmh! Ulimwengu huu....umwambie mwanaume kuwa una mtu, halafu tena urudi kwake eti kisa umevutiwa nae! Loh! Sasa huyo si atakushusha grade? Atakuweka kwenye list ya kumega tu na wala hatokaa akuoe, huyo dada bora ajirudie kwa mpenzi wake wa zamani. Huyo dada hajielewi kabisa yaani msimamo ziro huyo kaka bora tu amwache aende zake na ye atafute wa kwake!
 
Huyo dada angekuwa na mimi kisha akanieleza huo upuuzi,!nitamdanganya anitambulishe kwa huyo mtu wake kwa vyovyote anavyojua halafu na weka mambo hadharani kisha na mimi namtema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…