Unajua kama maneno haya yana kirefu chake? Pita apa uelimike kidogo

D
DOA- Dead On Arrival
 
Da'Vinci nafikiri niko sawa ni "Arrival" DOA- Dead on Arrival (mtu akifikiwa hospital akiwa tayari amefariki kabla ya kufika hospital, na sio DOA- Dead or Alive (awe amefariki au awe hai)
 
CDM - Cash Deposit Machine au .................................. (political party?!)
 
Such an abbreviations you can say any thing mfano CCM = Manake Chukua chako Mapema,ukipima sana kwa mtu ambae haelewi huko ulaya ataamini!! hata unaweza sema chama cha mapenzi, majinga,masenege, mabwege yaaani inakubalika hasa!!

wakati nikiwa mdogo niliaminishwa kuwa kirefu cha JWTZ, Ni Jeshi la Wakurya Tangu Zamani, eeebanae si nikaamini hivo!!... mwalimu wetu ali kuwa ana taniwa na wanfunzi kwa jina la ''Segua segua'', ..

. sasa wakt form one walipoingia wakasikia anaitwa hivo!! wao wakalitumia jina hilo km jina halisi!! weeee!! paliwaka moto si unajua shule za Mikoani baba miaka hiyoo!!! heee!! yaani ilikuwa zaidi ya jeshi!!!...

kwanza lilipigwa Bugle!! (guji tarumbeta flani hivi wa hatari)!! yaani hili likipigwa baba! utumbo woote fyeee!!! popote ulipo hata kama una kunya ahirisha faster!!! njagu akikukuta una malizia eti kunya!! heee!! lazima utaenda parade kwa mwendo mbaya wa kukwepa ndege!!! utaujua tu...........
 
Nakubalina na maamuzi yako japo yanaweza kua sio sahihihi...
Mbona hujazungumzia neno OK..?
Hata newspaper ni tango pori, sio kifupisho cha chochote..most ya maneno kwenye list uloweka humo ni matango pori..
 

TOYOTA- Tomba Yote Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…