Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
suala la kujua au kutokujua ni la mwajili...wewe mwajiliwa huwezi jua kama pesa yako inapelekwa au la mpaka siku umestaafu na unafuatilia mafao yako...hiyo ni kazi ya nssf kufuatilia kwenye database zao pamoja na za msajiri wa makampuni ili kujua tanzania kuna makampuni mangapi mpaka sasa na ni mangapi hayapeleki makato ya wafanyakazi wao......kazi rahisiiiii kwao kama wasipoingiza na UFISADI....ni hayo tu..!