Bado nahitaji kusikia zaidi kuhusu:Kuwa professional trader wanatric ya resistance clearing na kucalcurate time Ili kuwa accurate 70% na above ya trade zao.
So Amna emotion Bali Kuna right knowledge...
Leo nimeona nisaidie baadhi ya trader wenzangu ambazo tunastrugle katika level tofauti tofauti...ambao wanastrugle kutime market na kukaa mda mrefu kwenye screen kwa kuogopa kumiss trade.
Kuwa professional trader wanatric ya resistance clearing na kucalcurate time Ili kuwa accurate 70% na above ya trade zao.
So Amna emotion Bali Kuna right knowledge...
Chief soma vizuri...badala ya kufight at least ungetaka kujua...ikoje Ili uone ukiaply kwel au lah......Tupe hints, minninachjuwa ni kuset alarm ktk area of interest,preferably season etc
leta hizo techniques sasa mkuu , au uzi wako ulikuwa na lengo ganiChief soma vizuri...badala ya kufight at least ungetaka kujua...ikoje Ili uone ukiaply kwel au lah......
Ulichofanya post #1Chief soma vizuri...badala ya kufight at least ungetaka kujua...ikoje Ili uone ukiaply kwel au lah......
Bado nahitaji kusikia zaidi kuhusu:
Nakubali kuna vitu sivijui.
- professional trader
- time calculation
- right knowledge
- resistance clearing
- accurate 70%
- emotions
Mjomba nimesema tupe hints af nikaandik nikijuacho kwa mimi kosa ipo wapChief soma vizuri...badala ya kufight at least ungetaka kujua...ikoje Ili uone ukiaply kwel au lah......
Tupe hints, minninachjuwa ni kuset alarm ktk area of interest,preferably season etc
Sorry bro...ila Iko ivi Kila candle moja ya masaa 4 ni part yaa session labda London,newyork au Tokyo,so ukishajua direction unayotaka kutrade...make sure masaa 4ya candle lazima yaaabsorb order za session zote zilizoagainst na ww....kwa kutumia volume.....baada ya hapo kunakua hakuna resistance au low resistance...then hata kama utakua umekosea entry still momentum itakuback up......by that mean u don't fight algolithim Wala kuwa against anybody ...we unachoitaji ni big prayer waabsorb order zote Ili uwe free....Mjomba nimesema tupe hints af nikaandik nikijuacho kwa mimi kosa ipo wap
Mkuu unaweza kutafsiri COT report?Ulichofanya post #1
- Ni sawa na "yule" anayechukua "kijiko kimoja kilicho jaa sukari", na kukiweka kwenye "pipa moja la maji ya chumvi.", Kisha na kuwaeleza wengine wajaribu kutafakari ladha ya sukari iliyowekwa kwenye pipa la maji. | Je unategemea nini hapo??
Ukiamua kufunguka kuhusu jambao au kitu fulani ili tujadili basi funguka kwa kina chake ili kufanya mjadala uwe wa kueleweka na wenye tija.
Mfano: Hapa nimezungumzia kuhusu COT report vs Traders | Special Thread: COT Data Analysis & Trading Signals | Ambapo nimeibua mjadala na nimeeleza kwa kina kwa lengo la kujifunza na kuibua mjadala FFcom kuhusiana na COT, Baada ya kuhakiki na kukuta hakuna mjadala wa COT ambao ni endevu hapo FF.
Sorry bro...ila Iko ivi Kila candle moja ya masaa 4 ni part yaa session labda London,newyork au Tokyo,so ukishajua direction unayotaka kutrade...make sure masaa 4ya candle lazima yaaabsorb order za session zote zilizoagainst na ww....kwa kutumia volume.....baada ya hapo kunakua hakuna resistance au low resistance...then hata kama utakua umekosea entry still momentum itakuback up......by that mean u don't fight algolithim Wala kuwa against anybody ...we unachoitaji ni big prayer waabsorb order zote Ili uwe free....
Mkuu logic iliyotumika hapo sijaielewa ...ila kama we ni trader WA mda utagundua kazingua. .....just tell me uko na pair gani Ili nikuscreen shot the clear timing na mda sahihi WA kutrade....then utachek if it make sense or not...just for helping each other.