Alikuwa mmalawi akiwa Malawi au alizaliwa na wazazi ambao wamezaliwa eneo ambalo lilikuja kujulikana ni Malawi.Raisi wa kwanza wa Zambia alikuwa raia wa Malawi asilimia Mia.
Baba alikuwa raia wa Malawi na mama pia alikuwa hivyo.
Baba alikuwa mchungaji aliehamia Zambia. Kaunda alikuwatu mzaliwa wa Zambia lakini kwao Malawi
Cha ajabu akaja kuitawala Zambia kwa miaka mingi tu baada ya Uhuru. Sijui katiba Yao inasemaje kuhusu mtu kuchukua madaraka ya juu ya nchi