Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Tanzania tunakosa watu creative kabisa au CCM inabidi wawafute kazi vijana wa propaganda pale lumumba.katika hatua za awali nimepata kipeperushi,kofia na tishrt za kampeini ya 'ndiyo' kwa katiba pendekezwa.kibwagizo chao ni kuwa:
'katika katiba pendekezwa,wakulima wamo,wafugaji wao,wanaume wamo,wanawake wamo,vijana wao,wavuvi wamo,walemavu wamo,wafanyakazi wamo nk' sasa unataka nini.
mimi sijaelewa au ni mgumu kuelewa,hivi kutajwa katika katiba ni issue au ndiyo malengo ya katiba?
naomba kujuzwa au tuwasaidie namna ya kufanya kampeini nzuri...