Tanzania tunakosa watu creative kabisa au CCM inabidi wawafute kazi vijana wa propaganda pale rumumba.katika hatua za awali nimepata kipeperushi,kofia na tishrt za kampeini ya 'ndiyo' kwa katiba pendekezwa.kibwagizo chao ni kuwa:
'katika katiba pendekezwa,wakulima wamo,wafugaji wao,wanaume wamo,wanawake wamo,vijana wao,wavuvi wamo,walemavu wamo,wafanyakazi wamo nk' sasa unataka nini.
mimi sijaelewa au ni mgumu kuelewa,hivi kutajwa katika katiba ni issue au ndiyo malengo ya katiba?
naomba kujuzwa au tuwasaidie namna ya kufanya kampeini nzuri...
Hii ni katiba ya wauchumia tumbo,haina mtizamo mpana kwa maslahi ya taifa.Nafikiri walitamani hata kuweka majina ya watu!
Mi naona hapa hii katiba lengo lilikuwa kutaja majina. Kama Taifa, tujipange kuandika Katiba MpyaHii ni katiba ya wauchumia tumbo,haina mtizamo mpana kwa maslahi ya taifa.Nafikiri walitamani hata kuweka majina ya watu!
Mmekosa hoja sasa mnaamua kutumia lugha chafu na matusi kuhusu Katiba. Jiangalieni nyie watu wazima jamani!!
Tanzania tunakosa watu creative kabisa au CCM inabidi wawafute kazi vijana wa propaganda pale lumumba.katika hatua za awali nimepata kipeperushi,kofia na tishrt za kampeini ya 'ndiyo' kwa katiba pendekezwa.kibwagizo chao ni kuwa: