Unajua kilichowasibu wanafunzi hawa?

Unajua kilichowasibu wanafunzi hawa?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Ni kwa sababu 'aisi krim' walizopewa na mwalimu wao ili wauze hazijatoka.
 

Attachments

  • adhabu.jpg
    adhabu.jpg
    17.8 KB · Views: 331
du!amenikumbusha mwalimu wangu wa primary kule kijijini.
 
Mimi nilidhani mambo ya kushika masikio yaliisha enzi zetu, kumbe bado hii kitu inaendelea? Msuli ukishakaza unkua unainua mguu huu, mara huu kutafuta relief! So painful, sijui ina madhara gani kiafya? Damu kujaa kichwani?
 
attachment.php


Hii adhabu bomba sana tumepiga sana adhabu hizi enzi hizo sio siku hizi mwanafunzi akipigwa konzi tu kosa mpaka mazazi anakuja shule kulalamika.
 
attachment.php


Hii adhabu bomba sana tumepiga sana adhabu hizi enzi hizo sio siku hizi mwanafunzi akipigwa konzi tu kosa mpaka mazazi anakuja shule kulalamika.

Fidel naye kwa kujifagilia,hata kwenye adhabu!!
 
kuna makosa ya kupewa adhabu jamani lakini sio ice cream kwa hilo siwaungi mkono waalimu kwa asilimia 100!mwanafunzi anatakiwa akae darasani muda wa masomo!na ni mweko kumtuma auze biashara ya mwalimu ingekuwa wamechelewa shule,hawajamwagilia maua au kufagia darasa ningeunga mkono hiyo adhabu lakini kwa icecrem hapo noo!naomba waalimu wenye tabia hizo waache kabisa!huo ni unyanyasaji!serikali nayo iongeze mishahara ya hawa waalimu maisha yao ni magumu sana ndio maana wanajiingiza kwenye mambo haya kwasababu hawajui hatma ya maisha yao huwezi jua ni nini kinachowasukuma waalimu mpaka wakaingia kwenye biashara hizi please tunawaomba waheshmiwa sio kujiongezea mishahara wenyewe wajitahidi watazame na sekta za elimu na waganga wana maisha magumu sana ndio maana hata manesi wanafikia hatua ya kuuza madawa ya serikali au kuwatibu watu binadamu kwa madawa ya wanyama!
 
Anyway, ni moja kati ya mazoezi hayooo... tutafanyaje na barafu zimedoroo !!!
 
Hata sisi tulifanya hizi adhabu. Ni nzuri kuliko viboko! Ni mazoezi ya viungo pia!
Kumbukeni:
Kichura
Push up,
Kushika masikio na kichura kwa pamoja,
n.k.
 
Mie sitasahau hiyo adhabu niliifanya nilichelewa shuleni ..ticha alikuwa anaitwa washa washa
 
azabu safi sana kwa afya ya mwili........haya ni mazoezi bana, sio azabu wala nn
 
attachment.php


Hii adhabu bomba sana tumepiga sana adhabu hizi enzi hizo sio siku hizi mwanafunzi akipigwa konzi tu kosa mpaka mazazi anakuja shule kulalamika.
Enzi za 'Mwalimu' hii tuliita KUSHIKA MASIKIO, ukitoka hapo unashika adabu mtindo mmoja.
 
Back
Top Bottom