Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Mar 30, 2010 Thread starter #21 Nakumbuka kuna mwanafunzi mmoja hivi alihamia, mwalimu mkuu ambaye alikuwa ni mkali sana alimpa hii adhabu akamwambia 'shika masikio' yule dogo akayashika huku akiwa wima. unajua nini kilichotokea.....?
Nakumbuka kuna mwanafunzi mmoja hivi alihamia, mwalimu mkuu ambaye alikuwa ni mkali sana alimpa hii adhabu akamwambia 'shika masikio' yule dogo akayashika huku akiwa wima. unajua nini kilichotokea.....?