Wazungu walivyo koswa neno "any one" wakaiba neno la kijita "ANYONE" likiwa na maana ya "namimi" huku wao wakimaanisha "yeyote" hebu twmbie kikwenukwenu wameiba neno gani?

Approach na terminology ya thread hii, strictly speaking inafanya thread hii ikose sifa ya kuwekwa hapa. Please Invisible naomba uipeleke jukwaa la Jokes.