Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Hao wenye utovu wa nidhamu, huko wachukue tahadhari watang'olewa meno.Itakua Mwendo Wa 10G
Chriss Mugalu, Mkongoman anayecheza ZambiaTetemeko La Leo Pale Unyamani Kwa Vyanzo Vyangu Vyauhakika Itakua Hatari Watu Utopolofour Hawataamini Pale Ambapo Mwamba, Mtemi Huyu Wapale Kinshasa, Anaitwa Jean Marc Makusu Mundeleee, Anakwenda Kutufungia Usajili Leo, Then Tukatane Aug 22 Simba Day
Wasajirini wote basi, na Club bingwa hatua za mwanzo njeee!Chriss Mugalu, Mkongoman anayecheza Zambia
Melesi melesi.....mwana makusu ye kitoko naye...nzoi Sana biloko utopolo wanaTetemeko La Leo Pale Unyamani Kwa Vyanzo Vyangu Vyauhakika Itakua Hatari Watu Utopolofour Hawataamini Pale Ambapo Mwamba, Mtemi Huyu Wapale Kinshasa, Anaitwa Jean Marc Makusu Mundeleee, Anakwenda Kutufungia Usajili Leo, Then Tukatane Aug 22 Simba Day
Ni makambo sio makusuSizan kama ni Makusu!
Akija huyu hamna hamna half time Simba 6 - 0 Uto FCTetemeko La Leo Pale Unyamani Kwa Vyanzo Vyangu Vyauhakika Itakua Hatari Watu Utopolofour Hawataamini Pale Ambapo Mwamba, Mtemi Huyu Wapale Kinshasa, Anaitwa Jean Marc Makusu Mundeleee, Anakwenda Kutufungia Usajili Leo, Then Tukatane Aug 22 Simba Day