Unajua Kusoma Ndoto & The ability to force oneself out of a dream

I happen to be amongst people with such a condition

Whoa..I'm not alone, afterall

I just found out that the condition is called Lucid Dreaming. I picked up below article from www.dreamviews.com

 
Quick Mover, i'm with you on this bro, thanks for the article.
 
Duuh tuko wengi eeh?
Halafu mimi ndoto zangu huwa nazipenda sana. Mara nyingi huwa napaa kwenye ndoto zangu. Niaje hapo? Yaani hata ikiwa nightmare, au hali ngumu, na-overcome kwa kupaa yaani najiona naglide kama ndege. Kupaa inakuwa ngumu kama nimelala miguu imejikunja lol, basi hapo najipa command niamke. Hapo najua nacontrol ndoto yangu.
 

Nzoka, kwa definition waliyotoa hapo juu, sidhani kama hapo utakuwa una control ndoto.... hapo unaposema unajipa command uamke, mimi huwa najipa command niendelee kulala baada ya kuwa nimenyosha miguu na mikono yote kisha kama ilikuwa ndoto ya mapambano, naendeleza mbide kwa kuwapiga makonde huku nikipaa juu juu!! Kingine ni kuwa kama nakuwa sijaridhika na ndoto hiyo, usiku unaofatia naamua kuiendeleza pale ilipoishia. Inaweza kutofautiana kidogo, lakini mandhari inabakia ileile. Mimi nadhani hii ndiyo tuiite control.

SteveD.
 

We kijana punguza hadithi za Abunuwasi.
Anyways, karibu Konyagi hapa. Nimepata kachupa kutoka bongo. Hapa bongoflava. Halafu namsubiri shemeji yako, sijui anajichelewesha nini.
 
Nzokangoshayaping'hilu, naomba uni PM na hiyo ndoto yako, kisha nitakuletea tafsiri yake (kwa mujibu wangu)

Duuh. Halafu mkuu unajua hii niliandika kipindi kileee. Nikatoa. Eeh bwana, si yametokea live. Duuh.
Itabidi nimwone mzee Yahya maana, sometimes i scare myself.
 
We kijana punguza hadithi za Abunuwasi.
Anyways, karibu Konyagi hapa. Nimepata kachupa kutoka bongo. Hapa bongoflava. Halafu namsubiri shemeji yako, sijui anajichelewesha nini.

Nzoka, unafikiri nafanya utani... ni kweli hayo mambo yanafanyika, unaweza kuyaita ndoto but the bottom line is that they do happen, and i'm at the receiving end of them if not the generator. Ndiyo maana hapo juu nikamwambia Pundit kuwa, mengi ni kutokana na jinsi ubongo au maumbile ya mtu yalivyo zaidi ya mazingira ya kazi, chakula au umri.

Kuhusu mzinga wa Konyagi, wabeja getegeteh, ila nimerudi Iringa na ulanzi upo wa kumwaga pale Kihesa na Makanyagio. Hizo gongo za viwandani najiepusha nazo kwa muda hizi.... lol


SteveD.
 
mhh,
mimi kwa upande wangu huwa ninaota na katika ndoto hiyo najiota pia kwamba ninaota. na kama ndoto hii ya ndani ni mbaya naamka kutoka katika ndoto hiyo na kujua kwamba ilikuwa ndoto tu na kisha naendela na ndoto ya kwanza.

sijui kama kuna mtu ana the same experience.

steveD hii imekaaje ?
 
hahah jamani mbavu zangu mie! humu ndani nikiingia stress zote zinaisha.

Ndoto gani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…