Ni biashara inayolipa ukiwa serious ndio lakini pia inakubidi uwe na ujuzi wa ku generate trafic katika blog ambapo ili faida ipatikana kupitia adsenc na vitu vingine you have to link. Wenzetu wahindi wanajua sana hayo mambo. Unakuta one link title ina adlink hata nne kabla msomaji hajataka anachokitaka.
YOUR READERS CLICKS IS WHATS PAYING YOU