Unajua kuwa gari lina mwisho wa kutumia?

Unajua kuwa gari lina mwisho wa kutumia?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Magari haya huwa na muda wa kutumia , kama tulivyo binadamu ?

utafiti ulifanywa mara nyingi na kutoa siri kuwa makampuni mengi hujua mwisho gari lako, hutokana na ufahamu wa materio wanayo tumia km cast au forged kabisa ,material wanayo tumia kwenye crank shaft amabyo ndo mhimu pamoja matirio blocks nyingi ,ndo maan nlNisan nyingi hapo haziwezi hasa kwenye nchi za joto, kwa mfano hapa Tanzania arusha na iringa sehemu za barid nisan hufanya vizuri kutokana na materio.ya blocks zao,

tafiti kwa nchi zilizo endelea gari huish miaka 8 tu toka ilipotengezwa ,kwa huziita scraper hawawez kwenda na gari walizo nunua huku kutokana na sheria kwao kukataza magari mabovu yaan yamepita miaka 8.

inakadilia kufikia km 300,000 kwa petrol kuwa gari ndo mwisho lazima ufanye overhaul
na diesel kufikia km 470,000.
lakn hutegemea km ulitunza gari lako vizuri pmoja kutumia oil inayotakiwa.

ukiagiza gari nunua kutokana na mwaka na kilometa. na yenye KM na mwaka juu ndo bei rangi.
rangi hufata baada ya hayo kutimizwa.
japokuwa waagizaji wengi hurudisha nyuma kilometa ila kwa magari ya ksasa ukirudisha waweza kujua.

by Goeffrey Madafa

w.jpg
 
hizo labda daihatsu ....kuna magari eg scania imebeba mbao wee mwshon wakaamua liwe bus na linapiga safar ya 1000+ km kwa siku no problem
 
[emoji614][emoji614][emoji614]",ndo maan nlNisan nyingi hapo haziwezi hasa kwenye nchi za joto, kwa mfano hapa Tanzania arusha na iringa sehemu za barid nisan hufanya vizuri kutokana na materio.ya blocks zao,"[emoji614][emoji614][emoji614]


[emoji115][emoji115]Blocks za Nissan za miaka hii ni aluminum kama zilivyo magari mengine...

Gari kutokufanya vizuri kwenye mazingira ya joto inategemea na mfumo wake wa upoozaji yaani radiator na si block....

Kwa lile joto la Dar mbona nissan zipo nyingi tu na zinafanya vizuri...?
 
Mzee wangu kuna gari yake toka akiwa kijana anaendesha weekend tu6[emoji23][emoji23]
 
KM 300,000 kwa basi zak wenda mbeya manake ni miaka mitatus tu inabidi iwe imeisha muda.
 
Mung Chris,
Hapo kwenye miaka 8 unataka kusema gari nyingi hapa nchini ni scraper ?, mbona gari nyingi ziko mtandaoni zinauzwa na zikiwa tayari zina zaidi ya miaka minane tangu kutengenezwa ?, nadhani Km ndio huweza kudetermine, kwa sababu gari yaweza kuwa na miaka kumi halafu kumbe muda mwingi ilikuwa inapaki, hiyo haiwezi kuwa sawa na ile inashinda barabarani siku 7 kwa wiki, mimi ninayo gari toleo la mwaka 93 na km zake hazijafika hata laki 2, kwa hiyo unashauri niitupe ?.
 
Mung Chris,

Hizi deadline za matumizi ya bidhaa zimewekwa makusudi kwa ajili ya kuhamisha umiliki toka kwa tajiri aliyenunua mpya kwenda kwa masikini nae apate kujisitiri.

Kama unabisha, peleka bia zilizokwiisha muda wake Masaki wanywe uone watakavyoharisha na kulazwa!

Bia hizo hizo nilikuta maeneo ya Kigogo jamaaa wanafanya sherehe sijui walitoa wapi karibu catton 50 zimepitwa muda toka September 2018 na wadau wanalewa na ajabu zaidi hutasikia kuumwa mtu! Bureee, mwaka mpya ukaenda vyema 😂😂😂

Hapo ndiyo maana halisi ya kuhamisha umiliki(expire date)

Vivyo hivyo magari, vyombo vya umeme na hata vyakula!

KAMA: Tungepaswa kununua gari mpya (0km) naamini mpaka sasa bongo kusingekuwa na foleni! Magari ya shirika pekee ndiyo yangekuwa mengi mitaani.
 
Back
Top Bottom