Unajua kuwa gari lina mwisho wa kutumia?

Niliwahi kusoma mahali, na ilikuwa ni kuhusu injini za Toyota. Walisema kuwa injini zile, life span yake ni kilometa laki 2. Ikifikia umbali huo na ikaanza kusumbua, unashauriwa kufanya overhaul na kuondoa vifaa vilivyochoka, weka vipya, endelea kutumia gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…