Elections 2010 Unajua kwa nini kura nyingi zimedaiwa kuharibika?

Elections 2010 Unajua kwa nini kura nyingi zimedaiwa kuharibika?

remoteattacks

Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
25
Reaction score
0
Mawakala wa chadema wanadai kwamba karibu kura zote zilizoharibika zilikuwa za Dr. Slaa! Wamedai kuwa ukimpigia Slaa kwa kuweka tick, wanaccm wanakoleza wino hiyo sehemu halafu wakati wa kuhesabu wanakuambia hii imeharibika maana haieleweki kama tiki au la (mfano Mvomero hiyo approach imetumika sana)! CCM kweli kila dhambi wana maexperts!
 
hiyo ni nia moja wapo ya kumaliza mpinzani wako, kama ukishindwa kuweka kura za maruhani
 
Back
Top Bottom