Unajua kwanini Stephen Wasira anaitwa “Tyson”?

Unajua kwanini Stephen Wasira anaitwa “Tyson”?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Kwema wakuu…

Anaandika mwandishi mkongwe, Pascal Mayalla kwanini Steven Wassira hujulikana pia kama Tyson.

“Mimi nimeingia newsroom Januari 2, 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira namfahamu sana tuu, ile siku anamtwanga makonde mwandishi Yasin Sadiki pale Maelezo, nilikuwepo!. Makonde hayo yakafanya tumpe jina la Stephen Tyson Wasira”

Ahsante sana Pascal kwa kutujuza
 
Huyu mzee alishuhudia Tanganyika ikipata uhuru na sasa atashuhudia Tanganyika ikipata uhuru tena kutoka Tanzania.
 
Back
Top Bottom